Tarehe ya Kuwekwa: December 13th, 2021
Mkugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Bi Neema Maghembe amekabidhi vyumba vya madarasa 65 vilivyojengwa kupitia Mpango wa maendeleo kwa ustawi waTaifa na mapambano dhidi y...
Tarehe ya Kuwekwa: December 7th, 2021
Kampuni ya Nkusu Theo Sugar imetoa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Msingi Nakawale iliyopo Kata ya Muhukuru bar...
Tarehe ya Kuwekwa: November 30th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Balozi Wilbert Ibuge ametembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa madarasa ya UVIKO-19 na kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wake katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea...