• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Fedha na Uhasibu

KITENGO CHA FEDHA NA UHASIBU

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu 

  • Kutoa elimu kwa walipa kodi kwa njia ya mazungumzo ya ana kwa ana na vikao mbalimbali.
  • Huduma za malipo mbalimbali ya watumishi na watoa huduma katika Halmashauri.
  • Vitendea kazi vya kukusanyia mapato kama stakabadhi za kupokelea mapato, mashine za kielektroniki (POS Machine)
  • Ukusanyaji wa vyanzo vyote vya mapato ya halmashauri
  • Kutoa utaalamu wa usimamizi wa fedha na huduma za utunzaji wa vitabu.
  •  Kutoa ushauri kuhusu sheria, kanuni na taratibu kuhusu fedha na hesabu za Serikali ya Mitaa
  • Kutayarisha makadirio ya mapato na matumizi ya uendeshaji na maendeleo kwa kushirikiana na Idara na Vitengo vingine;
  • Kusimamia mapato na matumizi na kufuatilia upatikanaji wa fedha kutoka kwa mamlaka husika
  • Kusimamia fedha za Halmashauri kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za fedha;
  • Kusimamia utayarishaji wa taarifa za fedha na kuwasilisha kwa mamlaka husika.
  • Kuweka kumbukumbu za hesabu na kuhakikisha matumizi ya mifumo ya uhasibu ya Serikali iliyoidhinishwa.
  • Kusimamia utayarishaji wa ripoti za Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na maelekezo mengine yoyote ya Serikali;
  • Kuhakikisha taratibu za uhasibu na vitabu vya hesabu vinazingatiwa kwa mujibu wa Memoranda ya Fedha ya Mamlaka za Serikali za Mitaa;
  • Kutayarisha taarifa za fedha za Halmashauri
  • Kuidhinisha malipo kwa mujibu wa taratibu za fedha zilizowekwa.
  • Kuandaa majibu ya hoja za ukaguzi zilizoulizwa na Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
  • Kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani na uimarishaji na udhibiti wa matumizi ya Fedha za umma na utoaji wa elimu kwa walipa kodi.
  • Kubuni, kusimamia na kuimarisha vyanzo vya mapato ya Halmashauri.
  • Kusimamia ipasavyo mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielectroniki pamoja na mfumo wa uhasibu wa MUSE na FFARS.
  • Kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia viwango vya kiuhasibu vya kimataifa.
  • kuimarisha programu ya uwekezaji katika maeneo yaliyoainishwa na kuendelezwa.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • WASIRA ATIA NENO UKAMILISHAJI WA MIRADI SONGEA DC, AMPONGEZA DKT. SAMIA

    June 12, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA SONGEA AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUSIMAMIA VIZURI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE BORA

    June 11, 2025
  • MATUMIZI YA LISHE ILIYO BORA YASISITIZWA MASHULENI

    June 10, 2025
  • KITUO CHA AFYA MATIMILA CHAKABIDHIWA GALI LA WAGONJWA.

    June 06, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa