Tarehe ya Kuwekwa: August 31st, 2022
KAMPENI ya chanjo ya Polio katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kampeni imelenga kuzuia Watoto wasipate ugonjwa wa kupooza.
Chanjo itatolewa nyumba hadi nyumba na kwenye vituo vya kutolea huduma...
Tarehe ya Kuwekwa: August 31st, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imepokea kiasi cha shilingi milioni 396,141,283.61 kutoka TASAF kwaajili ya ujenzi wa miradi ya miundombinu kwa mwaka 2022/2023.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mte...
Tarehe ya Kuwekwa: August 15th, 2022
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bi Neema Maghembe amewataka wanafunzi wanaopatiwa mafunzo ya Sensa kusikiliza kwa makini na kwa weredi ili waende kuleta ufanisi katika kaz...