Tarehe ya Kuwekwa: July 17th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Ndg. Mtela Mwampamba, amewataka Wananchi wa wilaya ya Songea kukata Bima ya Afya kwa ajili ya kuwa na uhakika wa matibabu na Afya zao.
Mwampamba ameyasema...
Tarehe ya Kuwekwa: July 16th, 2024
Katibu tawala Wilaya ya Songea Mtela mwampamba amewakumbusha wananchi wa kata ya Muhukuru Lilahi kuwa ardhi ya kijiji haiuzwi na kiongozi yeyote yule.
Mwampamba amesema kuwa Viongozi wa kijiji yaan...
Tarehe ya Kuwekwa: July 12th, 2024
Bilioni mbili Milioni mia tano thelathini na tano (2,535,000,000) Zimeijenga Shule ya Sekondari Jenista Mhagama iliyopo kata ya Parangu, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma
...