Tarehe ya Kuwekwa: February 8th, 2023
WATAALAMU kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea wameshiriki zoezi la upandaji miti katika hospitali ya Halmashauri iliyopo katika Kata ya Mpitimbi lengo ni kuhamasisha utunzaji wa mazingira....
Tarehe ya Kuwekwa: February 7th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba akipanda mti katika hospitali ya Halmashauri iliyopo katika kata ya Mpitimbi....
Tarehe ya Kuwekwa: February 6th, 2023
BARAZA la wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamepitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo tarehe 06 Februari katika ukumbi wa mikutano Lundusi-Peramiho.
Baraz...