Tarehe ya Kuwekwa: June 2nd, 2023
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe ambae amewakilishwa na Afisa Mipango Bw. Athuman Nyange amefungua semina ya mafunzo ya mradi wa Upandaji miti na Utunzaji wa...
Tarehe ya Kuwekwa: May 29th, 2023
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea ni moja kati ya Halmashauri zilizopo kwenye mpango wa kutekeleza mpango wa kunusuru Kaya Maskini ambao unahusisha kipengele cha mradi wa Ajira za muda hivyo Walengwa hu...
Tarehe ya Kuwekwa: May 27th, 2023
TIMU ya wataalamu wamefanya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Ufuatiliaji huo umefanyika katika Kata ya Magagula ambapo kuna ujenzi wa nyumba m...