Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
MWENGE wa Uhuru umetembelea na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa vijana wa uselemala uliopo katika kata ya Parangu ambao unajihusisha na utengenezaji wa bidhaa za mbao kama madawati, meza na milan...
Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Abdalla Shaib Kaim amegawa vyandarua kwa Watoto wadogo na wamama wajawazito Mpitimbi katika kusisitiza mapambano dhidi ya kutokomeza malaria.
Akizungumza n...
Tarehe ya Kuwekwa: April 22nd, 2023
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameongoza zoezi la upandaji miti katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ambapo jumla ya miti 560 imepandwa katika maeneo yote ya mirad...