Tarehe ya Kuwekwa: September 12th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Peramiho, Ndugu Ignus Kong’owa, amesema maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 yanaendelea vizuri huku kampeni zikiendelea kwa amani...
Tarehe ya Kuwekwa: September 9th, 2025
Ikiwa ni zaidi ya miezi miwili tangu kufunguliwa kwa Stendi ya Kisasa ya Mabasi Lundusi, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, wananchi wamepata unafuu wa maisha kwani ujio wa Stendi hiyo um...
Tarehe ya Kuwekwa: September 4th, 2025
Matokeo mazuri ya kidato cha sita mwaka 2025 bado yanaendelea kutazamwa kama kielelezo cha mshikamano mzuri kati ya walimu, wanafunzi, jamii na Serikali kwa ujumla katika Halmashauri ya Wilay...