Tarehe ya Kuwekwa: February 7th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba akipanda mti katika hospitali ya Halmashauri iliyopo katika kata ya Mpitimbi....
Tarehe ya Kuwekwa: February 6th, 2023
BARAZA la wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamepitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo tarehe 06 Februari katika ukumbi wa mikutano Lundusi-Peramiho.
Baraz...
Tarehe ya Kuwekwa: February 2nd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Ndile ametembelea hospitali ya Halmashauri iliyopo Kata ya Mpitimbi na kuzungumza na watumishi wa hospitali hiyo.
Aidha, ameshiriki zoezi la upandaji miti ...