Tarehe ya Kuwekwa: October 16th, 2021
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho ametoa wito kwa Viongozi wa Wilaya ya Songea kutoa mikopo na fursa za ajira kwa vikundi vya vijana.
Mwisho ametoa rai hiyo alip...
Tarehe ya Kuwekwa: October 11th, 2021
Mahitaji ya chanjo ya UVIKO -19 yazidi kuongezeka katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma baada ya wananchi kupokea elimu ya umuhimu wa chanjo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo Geofrey...
Tarehe ya Kuwekwa: October 1st, 2021
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Balozi Wilbert Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuendelea kupokea Elimu na kuchanja kwa hiari kwa lengo la kupunguza madhara na changamoto ya ugojwa wa UVIKO -19.
Ba...