Tarehe ya Kuwekwa: January 24th, 2023
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba amewataka Viongozi wa Kata kwa kushirikiana na Walimu kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2023...
Tarehe ya Kuwekwa: January 20th, 2023
KAMATI ya fedha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba imefanya ziara ya ukaguzi ...
Tarehe ya Kuwekwa: January 15th, 2023
MKURUGENZI wa Sera na Mipango Ofisi ya Rais TAMISEMI John Mihayo Cheyo amefanya ukaguzi wa maeneo ya ujenzi wa masoko ya kimkakati katika vijiji vitano vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea...