Tarehe ya Kuwekwa: February 21st, 2018
Tarehe 08/03 kila mwaka ni siku ya wanawake duniani.
Katika kuadhimisha siku hiyo, wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakiungana na wanawake wenzao duniani wamepanga kufanya shughuli z...
Tarehe ya Kuwekwa: February 9th, 2018
Imebaika kuwa utoro wa kudumu,uhaba wa vitendea kazi ,uhaba wa vyumba vya madarasa ni miongoni mwa changamoto zinazoikabibili sekta ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Hay...
Tarehe ya Kuwekwa: February 6th, 2018
Ofisi ya Takukuru Mkoani Ruvuma imeokoa kiasi cha shilingi milioni ishirini na tano kutoka idara ya Afya na Elimu.
Hayo yamesemw na mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa BI CHRISTINA CHA...