HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
DIVISHENI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
1 UTANGULIZI
Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ina jumla ya watumishi 73 ambapo kati yao watumishi 13 wako Makao Makuu na watumishi 60 wapo ngazi ya Vijiji na Kata
Divisheni inaundwa na vitengo vitatu (3) ambavyo ni :
2. MAJUKUMU YA DIVISHENI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
Jukumu kuu la divisheni hii ni kutekeleza shughuli mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Serikali kuu na Wadau kutoka Sekta binafsi. Divisheni hii ina sehemu tatu ambazo ni Kilimo, Mifugo na Uvuvi. Shughuli za kila sehemu ni kama ifuatavyo:
2,1, Majukumu ya Kitengo cha Kilimo
2.2. Majukumu ya Kitengo cha Mifugo
2.3. .Majukumu ya Kitengo cha Uvuvi
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa