Tarehe ya Kuwekwa: June 10th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Rajabu Mtiula amewatahadharisha waliokuwa Madiwani kuacha kujishughulisha na kazi za Udiwani baada ya muda wao kufikia ukomo.
...
Tarehe ya Kuwekwa: June 11th, 2020
WAKULIMA wa zao la ufuta katika Wilaya za Namtumbo,Songea na Tunduru mkoani Ruvuma wameanza kunufaika na zao hilo baada ya kupokea shilingi bilioni 16.8 tangu kuanza kuuza zao hilo kwa mfumo wa stakab...
Tarehe ya Kuwekwa: June 4th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepokea msaada wa Vifaa vya kupambana na Corona vyenye thamani ya sh. milioni 1.5 kutoka Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) Mkoa wa...