Tarehe ya Kuwekwa: December 21st, 2022
MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Kamando Mgema amefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa madarasa 10 Songea vijijini.
Akizungumza katika ziara hiyo amewapongeza timu ya wataalamu, baraza la...
Tarehe ya Kuwekwa: December 17th, 2022
Mikoa mitatu ya Nyanda za juu Kusini imeanza mafunzo ya Mradi wa BOOST yanayotolewa na Ofisi ya Rais –TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Mkoani Iringa.
Akifung...
Tarehe ya Kuwekwa: December 10th, 2022
TANZANIA hufanya maadhimisho ya Uhuru tarehe 9 Desemba kila mwaka. Katika siku hiyo mwaka 1961, Tanzania wakati huo Tanganyika ilipata Uhuru kutoka kwa Uingereza.
Katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhu...