• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

Planning, Monitoring and Statistics

DIVISHENI YA MIPANGO NA URATIBU

Lengo

Kutoa utaalamu na huduma katika mipango, bajeti, usimamizi na tathmini.

Divisheni inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuandaa mikakati, mipango na bajeti za muda wa kati na mrefu;
  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mikakati, mipango na bajeti;
  • Kuandaa na kupitia upya wasifu wa uchumi wa Serikali za Vijiji;
  • Kuratibu utekelezaji wa ushiriki wa sekta binafsi;
  • Kuratibu ukusanyaji wa data, uchambuzi, utafsiri na uhifadhi kwa Serikali za Vijiji;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu michakato ya usimamizi na tathmini;
  • Kuratibu Usimamizi wa Majanga ya Halmashauri; na
  • Kuratibu shughuli za Serikali za Vijiji zilizotekelezwa na taasisi zingine kama vile ardhi na maji.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni  na ina seksheni mbili kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Mipango na Bajeti; na
  • Seksheni ya usimamizi na Tathmini.

Seksheni ya Mipango na Bajeti

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuratibu utekelezaji wa sera za sekta za uchumi na uzalishaji;
  • Kufafanua na kusambaza sera za Wizara Kuu na Sekta pamoja na Serikali za kata na vijiji;
  • Kuratibu mapitio ya utendaji ya katikati ya mwaka na ya mwishoni mwa mwaka;
  • Kutoa mwongozo wa kitaalamu na usaidizi kwa ajili ya kurasimisha mchakato wa upangaji wa kimkakati na bajeti ndani ya Halmashauri;
  • Kuratibu maandalizi ya taarifa za utekelezaji wa Ilani ya Chama Tawala.
  • Kuratibu uundaji na uandaaji wa mipango na bajeti za Serikali za vijiji;
  • Kuunganisha taarifa zinazohusu miradi, program na mipango ya utendaji na kuweka mikakati ya uandaaji wa rasilimali/malighafi.

Seksheni ya Usimamizi na Tathmini

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa mipango ya Serikali za Mitaa;
  • Kuandaa taarifa za utendaji za mara kwa mara;
  • Kuanzisha na kubuni zana za kukusanya data;
  • Kuratibu uzalishaji wa data na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kuratibu maandalizi na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kuanzisha na kubuni zana za kukusanya data;
  • Kushirikiana na NBS katika kukusanya data, kuziingiza, kuzichambua na kuzitafsiri;
  • Kutoa mawazo katika maandalizi ya shughuli za mipango, program na bajeti ikiwa ni pamoja na kuanzisha malengo na viashiria vya utendaji;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu ikiwa ni pamoja na kuasisi mchakato wa Usimamizi na Tathmini;
  • Kufanya tafiti zenye matokeo kwenye mipango, miradi na program zinazotekelezwa na Serikali za kata na vijiji;
  • Kuratibu utekelezaji wa mikataba ya utendaji;
  • Kuratibu uzalishaji wa data na takwimu za kawaida katika sekta zote;
  • Kushirikiana na NBS katika ukusanyaji wa data, kuziingiza, kuzichambua na kuzitafisiri;
  • Kuratibu maandalizi na usambazaji wa wasifu wa kijamii na kiuchumi;
  • Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti;
  • Kutoa msaada wa takwimu wakati wa kupanga na kuandaa bajeti;

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA YAMEANZA SONGEA DC

    April 29, 2025
  • MHE . JENISTA MHAGAMA AZINDUA MADARASA 27 NA VYOO MATUNDU 44, SONGEA DC

    March 16, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa