Tarehe ya Kuwekwa: October 21st, 2022
SERIKALI imetoa Shilingi Milioni 400 kwaajili ya kutekeleza ujenzi wa Kituo cha Afya cha Magagura.
Akizungumza Mganga Mkuu wa Wilaya Geofrey Kihaule amesema kituo hiki kinahudumia wananchi wa Kata ...
Tarehe ya Kuwekwa: October 21st, 2022
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Ndugu Neema Maghembe anawatangazia wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kushiriki katika zoezi la usafi wa Mazingira.
Zoezi hilo l...
Tarehe ya Kuwekwa: October 20th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imedhamiria kuandaa mipango shirikishi itakayotumiwa na Wawekezaji, Serikali ya kijiji na Halmashauri katika sekta ya Kilimo na Madini hususani makaa ya mawe.
Hayo y...