Tarehe ya Kuwekwa: July 8th, 2020
HOSPITALI ya Halmashauri ya Wilaya Songea mkoani Ruvuma ambayo imejengwa katika kijiji cha Mpitimbi B kwa gharama ya shilingi bilioni 1.8 inatarajia kuanza kutoa huduma za matibabu kuanzia Julai...
Tarehe ya Kuwekwa: July 7th, 2020
KAMATI ya siasa ya Mkoa wa Ruvuma ya kagua miradi ya maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Kamati ya siasa ya Mkoa wa Ruvuma yaagiza miradi inayotekelezwa katika Halmashauri ...
Tarehe ya Kuwekwa: June 16th, 2020
Chama Kikuu cha Ushirika wa mazao cha Songea na Namtumbo (SONAMCU) kimetoa kiasi cha sh. Laki tano kuisaidia timu ya mpira wa miguu ya Majimaji ya Mkoa wa Ruvuma.
Meneja Mkuu wa SONAMCU Juma ...