Tarehe ya Kuwekwa: June 24th, 2024
Taarifa kwa Umma
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea anawakaribisha wananchi wote kushiriki Kikao cha Baraza la Madiwani kujadili hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Tarehe ya Kuwekwa: June 12th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Bi Elizabeth Gumbo
anaskitika kutangaza kifo cha Mwa. Sadoki Mapunda.
...
Tarehe ya Kuwekwa: June 10th, 2024
Wananchi wa kutoka kata mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Songea, wamejitokeza kuupokea Mwenge wa Uhuru uliofika leo Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Kupokelewa katika Kijiji cha Lipaya kata ya...