Tarehe ya Kuwekwa: January 5th, 2018
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano Tanzania MH KASIMU KASIMU MAJALIWA ameagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilayaya Songea kuhamasisha kilimo cha mazao ya biashara ambayo serikari
imeyawekea mkakati...
Tarehe ya Kuwekwa: October 16th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imetekeleza mpango wa kuthibti kuenea kwa ugonjwa wa malaria kwa kupuliza dawa ya viuavidudu katika maeneo yaliyo tambuliwa kuwa na mazalia ya kudumu ya mbu kufua...
Tarehe ya Kuwekwa: September 25th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Songea imetoa mafunzo ya mfumo wa FFARS na Planrep kwa wataalamu wake ili waweze kuitumia mifumo hiyo kwa ufanisi. Mafunzo hayo yamefanyika kuanzia tarehe18/09/2017. Mpaka tar...