Tarehe ya Kuwekwa: December 28th, 2019
Lishe ni kichocheo cha maendeleo kufikia uchumi wa kati wa viwanda hivyo swala la lishe katika jamii liwekewe mkazo ilikuepuka madhara makubwa yatokanayo na ukosefu wa lishe ambayo ni udumavu...
Tarehe ya Kuwekwa: December 2nd, 2019
Mkuwa wa Wilaya ya Songea Pololeti Mgema ameagiza hatawavumilia Wevyeviti wa Vijiji na Vitongoji watakao kuwa wazembe katika kusimamia na kuhamasisha shughuli za maendeleo katika maeneo yao ya kazi au...
Tarehe ya Kuwekwa: October 30th, 2019
Mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Songea unaofanyika kwenye kata ya Mpitimbi umefikia asilimia 90 na umegharimu shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa na serikali ya Awamu ya Tano kutekeleza ujenzi...