Tarehe ya Kuwekwa: November 11th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imepokea fedha kiasi cha Shilingi Milioni 100 kutoka Serikali Kuu kwaajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu katika Shule ya msingi Liweta.
H...
Tarehe ya Kuwekwa: November 9th, 2022
MRADI wa ujenzi wa nyumba ya Watumishi wa Shule ya Sekondari Barabarani iliyopo katika Kata ya Muhukuru umekamilika ambayo imejengwa mbili kwa moja, imegharimu kiasi cha Shilingi Milioni 50 kutoka Ser...
Tarehe ya Kuwekwa: November 8th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imefanya ziara ya ukaguzi wa Milango katika karakana ya Mpingi Mahenge ambayo itatumika kukamilisha ujenzi katika hospitali ya Wilaya Mpitimbi.
Ukaguzi huo umeongozw...