Tarehe ya Kuwekwa: December 28th, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Simoni Bulenganija amesema watoto wote 2082 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 wataanza masomo Januari 2021.
...
Tarehe ya Kuwekwa: December 17th, 2020
Mkuu wa wilaya ya songea mkoani Ruvuma Pololeti Mgema ametoa maagizo kwa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira kutoa elimu kwa wananchi wa Madaba kuhusu umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji.
...
Tarehe ya Kuwekwa: December 15th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Mhe Menasi Komba ameonya watakao kiuka maadili ya kazi yao watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na serikali...