KATIKA kuboresha huduma za afya Halmashauri ya Wilaya ya Songea imefanikiwa kuanzisha huduma za upasuaji katika hospitali ya Halmashauri Iliyopo katika kata ya Mpitimbi mnamo tarehe 17 Januari 2023.
Aidha Uongozi wa Halmashauri na wananchi wameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama kwa hatua ya kuboresha huduma katika vituo vya kutolea huduma ya afya.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa