Tarehe ya Kuwekwa: September 5th, 2022
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya Songea Mheshimiwa Menace Komba ameendesha mkutano wa mwaka wa Baraza la Madiwani uliodhuriwa na Viongozi wa chama cha siasa na wataalamu.
Mkutano huo ulifanyika ...
Tarehe ya Kuwekwa: September 2nd, 2022
MKURUGENZI wa TASAF kutoka makao makuu Dodoma Ladslaus Mwamanga ambae amewakilishwa na Mercy Mandawa ametoa mafuzo na kuwajengea uelewa juu ya utekelezaji na usimamizi wa miradi ya TASAF Songea.
&n...
Tarehe ya Kuwekwa: August 31st, 2022
KAMPENI ya chanjo ya Polio katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kampeni imelenga kuzuia Watoto wasipate ugonjwa wa kupooza.
Chanjo itatolewa nyumba hadi nyumba na kwenye vituo vya kutolea huduma...