Tarehe ya Kuwekwa: November 22nd, 2023
Naibu Katibu Mkuu Elimu Ofisi ya Raisi TAMISEMI Dkt. Charles Msonde amepongeza maendeleo ya ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari Maposeni wakati akikagua miradi inayojengwa kwa ufa...
Tarehe ya Kuwekwa: November 13th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imetembelewa na Mbunge anayesemea wafanyakazi na kutetea maslahi ya watumishi Bungeni Dkt. Alice Kaijage Novemba 13, 2023.
Mheshimiwa Dkt. Kaijage katika ziara...
Tarehe ya Kuwekwa: November 11th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Songea Ndg Neema M Maghembe amewasisitiza Maafisa kilimo wote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea kuhakikisha wanapima afya ya udongo kwa w...