Tarehe ya Kuwekwa: November 16th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ametoa maelekezo kwa jeshi la polisi la Wilaya ya Songea kuendelea kufanya uchunguzi wa kuwabaini wezi wanao hujumu miundombinu ya Shirika la umeme...
Tarehe ya Kuwekwa: November 12th, 2021
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza zoezi la utambuzi ,usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa njia ya heleni za kieletroniki kwa lengo la kutambua idadi ya mifugo nchini, kukidhi mahitaji ya soko la...
Tarehe ya Kuwekwa: November 4th, 2021
Kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana rushwa Mkoa wa Ruvuma Hamza Mwenda amewarai wananchi kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa miradi ya mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dh...