Tarehe ya Kuwekwa: February 28th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba akimkabidhi Faudhia Fundi mwakilishi wa kada ya watunza kumbukumbu sanduku kwaajili ya kusambazia na kutunzia majalada ya siri.
...
Tarehe ya Kuwekwa: February 28th, 2023
Maafisa watendaji wa kata 6 za Halmashauri ya wilaya ya Songea wamekabidhiwa pikipiki 6 zilizotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kwaajili ya watendaji kata nchini ...
Tarehe ya Kuwekwa: February 27th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea fedha kiasi Cha shilingi Milioni 198, 700,650 kutoka Serikali kuu Kwaajili ya ujenzi wa ghala na soko katika Kijiji cha Matomondo.
Hayo yamethibi...