MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mheshimiwa Menas Komba amewataka Viongozi wa Kata kwa kushirikiana na Walimu kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2023 wameripoti shuleni.
Ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamati ya fedha ya waheshimiwa Madiwani wakikagua ujenzi wa vyumba vya madarasa Songea Vijijini.
Aidha, amesisitiza kwa wanafunzi wote ambao hawajaripoti shule wazazi wakamatwe na kupelekwa kituo cha polisi.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa