Tarehe ya Kuwekwa: October 12th, 2023
Msimamizi wa asilimia kumi(10) ambazo ni nguvu za wananchi katika mradi wa ujenzi wa stendi ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea Evagrini Kongwa amewaomba wananchi kutoa ushirikiano...
Tarehe ya Kuwekwa: October 11th, 2023
Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma yapongeza ukarabati wa wa skimu ya umwagiliaji iliyopo Muhukulu wakati wa ziara yake iliyofayika tarehe 9 Octoba 2023 katika Kijiji hicho.
...
Tarehe ya Kuwekwa: October 11th, 2023
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Mhe. Komredi Odo Mwisho apongeza maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mpitimbi A Kata ya Mpitimbi baada ya kutembelea mradi huo mnamo...