Tarehe ya Kuwekwa: July 5th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile amefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi inayoendelea kujengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Ziara hiyo imefanyika Julai 4, 2023 ...
Tarehe ya Kuwekwa: June 29th, 2023
KIJIJI cha Parangu wameadhimisha maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe kwa mtoto, maadhimisho hayo hufanyika kila baada ya miezi mitatu....
Tarehe ya Kuwekwa: June 29th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akiwa na Viongozi, wataalamu Pamoja na wafanyakazi wa Uhamiaji katika daraja la mkenda lililopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji....