Tarehe ya Kuwekwa: July 31st, 2018
Serikali kupitia OR-TAMISEMI Imewakabidhi Waratibu Elimu Kata pikipiki kwa lengo la kufutilia utendaji kazi na kuhakikisha kiwango cha taaluma kinapanda katika Halmashauri ya wilaya ya songea
Kauli...
Tarehe ya Kuwekwa: July 26th, 2018
Watumishi
Halmashauri ya Wilaya ya Songea inaupungufu wa watumishi 294 wa idara ya Afya kati ya 472 wanaotakiwa kwa ikama
Hayo ni kwa mujimu wa mganga mkuu wa Halmashauri wilaya ya songea ...
Tarehe ya Kuwekwa: July 25th, 2018
Uchaguzi mdogo wa udiwani jimbo la Peramiho
Uchaguzi wa udiwani katika jimbo la Peramiho kata ya Peramiho unaendelea vizuri kwa vyama vyote vilivyoweka wagombea kuendelea na kampeni zao kama kawaid...