Tarehe ya Kuwekwa: January 27th, 2023
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Watumishi wote tunakutakia kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan....
Tarehe ya Kuwekwa: January 26th, 2023
MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mhe. Simon Kapinga ambaye amemwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Menas Komba amewataka watendaji wa Kata kusimama katika nafasi zao ili wawez...
Tarehe ya Kuwekwa: January 26th, 2023
KATIKA kuboresha huduma za afya Halmashauri ya Wilaya ya Songea imefanikiwa kuanzisha huduma za upasuaji katika hospitali ya Halmashauri Iliyopo katika kata ya Mpitimbi mnamo tarehe 17 Januari 2023.
...