Tarehe ya Kuwekwa: April 15th, 2021
Mkuu wa mkoa Ruvuma Chistina Mndeme amewaagiza wakuu wa Taasisi serikalini kusikiliza na kutatua kero za wananchi kuanzia ngazi ya chini.
Mndeme ametoa kauli hiyo katika kikao cha kazi cha watendaj...
Tarehe ya Kuwekwa: April 13th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa maagizo kwa viongozi wa Ushirika na wadau wa kilimo kwenda kuhamasisha wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa zao la soya.
Mndeme ametoa maagizo hayo...
Tarehe ya Kuwekwa: April 9th, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Mhe. Menas Komba amewaonya Wenyeviti wa Vyama vya Msingi vya Ushirika na wadau wa ushirika kujiepusha na udanganifu wa kuiba mazao ya wakuli...