Tarehe ya Kuwekwa: November 8th, 2022
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea imefanya ziara ya ukaguzi wa Milango katika karakana ya Mpingi Mahenge ambayo itatumika kukamilisha ujenzi katika hospitali ya Wilaya Mpitimbi.
Ukaguzi huo umeongozw...
Tarehe ya Kuwekwa: November 4th, 2022
MWENYEKITI Wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Ndugu Thomas Masolwa amewataka wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea kuendeleza uwajibikaji katika Idara zao.
Ameyasema hayo wakati akizungumza...