Tarehe ya Kuwekwa: December 9th, 2020
Wafugaji wa kuku wa Kijiji cha Nakahegwa ,Kata ya Mbinga Mhalule wameshauriwa kutumia teknolojia rahisi katika kufanikisha malengo yao ya ufugaji ili waweze kupata mafanikio ambayo yatawaweze...
Tarehe ya Kuwekwa: December 7th, 2020
Kijiji cha Mbati kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kimebarikiwa kuwa na msitu wenye magogo yaliyogeuka mawe hali inayosababisha kutembelewa na wageni mbalimbali ...
Tarehe ya Kuwekwa: December 3rd, 2020
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea yagawa pembejeo bure kwa wakulima wa zao la ufuta
Halmashauri ya wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imegawa mbegu ya ufuta bure kwa wakulima wa zao la ufuta katika Kata ...