Tarehe ya Kuwekwa: June 3rd, 2020
Wanafunzi wa kidato cha Sita katika shule ya sekondari Maposeni wilayani Songea mkoani Ruvuma wanaorejea shuleni,wamewatoa hofu wazazi na walezi wao kwamba wapo salama dhidi ya maambukizi ya homa &nbs...
Tarehe ya Kuwekwa: May 12th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekabidhi Pikipiki 20 kwa maafisa Tarafa wa Mkoa wa Ruvuma ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt.John Magufuli aliyoitoa Ikulu mwaka 2019 katika kika...
Tarehe ya Kuwekwa: May 12th, 2020
WAKULIMA wa zao la ufuta kutoka Halmashauri za Mbinga,Songea na Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameuza kilo 352,774 za zao la ufuta kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani zilizowaingizia za...