Mgeni rasmi akikagua mabanda ya biashara zinazofanywa na vikundi vya Wanawake wajasiliamali ambao wamepokea mkopo wa asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songea katika siku ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa