Halmashauri ya Wilaya ya Songea imetoa fedha kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kukamilisha miradi inayotekelezwa ndani ya Halmashauri.
Imetoa fedha kiasi cha Shilingi Milioni 20 kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Zahanati ya Makwaya.
Vilevile imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 18 kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mdunduwalo.
Pia imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 10 kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kituro.
Vilevile imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 10 kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa darasa Moja katika shule ya msingi Nambarapi.
Pia kiasi cha shilingi Milioni 20 kimetolewa na Halmashauri Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Zahanati ya Kiheo.
Imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 49,429,600 Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa shule mpya ya sekondari Kizuka.
Pia imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 50 kutoka mapato ya ndani Kwaajili ya kumalizia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mipeta.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa