Halmashauri ya Wilaya ya Songea imepokea kiasi cha Shilingi Milioni 200 kwaajili ya ujenzi wa Vyumba 10 vya Madarasa kwa Wanafunzi wa kidato cha kwanza Mwaka 2023.
Tunaishukuru Serikali ya awamu ya Sita ikiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na tunaahidi kutumia fedha hizo kwenye mradi kusudiwa kwa uadilifu mkubwa.
Pia tunamshukuru Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe.Pololet Mgema kwa kutuongoza vyema na kuendelea kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa