MAKUMBUSHO ya Taifa ya Majimaji iliyopo Manispaa ya Songea,inatajwa kuwa ndiyo makumbusho pekee nchini unayoweza kuona picha halisi na vifaa halisi vilivyotumiwa na babu zetu katika harakati za ukombozi dhidi ya wakloni wa kijerumani.Tazama habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=ccBUy59F1aQ&t=133s
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa