• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

MAFUNZO ya mradi wa BOOST kwa timu za utekelezaji ngazi za Mikoa na Halmashauri Nyanda za juu kusini yafanyika Mkoani Iringa

Tarehe ya Kuwekwa: December 17th, 2022

Mikoa mitatu ya Nyanda za juu Kusini imeanza mafunzo ya Mradi wa BOOST  yanayotolewa na Ofisi ya Rais –TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Mkoani Iringa.

Akifungua mafunzo hayo Mkurugenzi wa michezo Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Yusuph Singo ambaye pia ni mratibu wa mafunzo hayo amesema kuwa,mradi wa BOOST ni mradi wa kuimarisha ujifunzaji shule za  awali na msingi unaofadhiliwa na benki ya dunia na unatarajiwa kutumia jumla ya trillion 1.15.

Amesema kuwa kupitia fedha hizo jumla ya madarasa 12,000 yanatarajiwa kujengwa katika shule za  awali na msingi kwa miaka mitano ambapo kwa mwaka mmoja jumla ya madarasa 3,000 yatajengwa,kufunga vifaa vya TEHAMA kwenye vituo vya walimu na shule za msingi 800 na utekelezaji wa mradi huo umeanza mwaka huu 2022/2023 na unatarajiwa kumalizika 2025/2026 kwa utaratibu wa lipa kulingana na matokeo.

Ameongeza kuwa mradi wa BOOST una jumla ya afua 8 za utekelezaji ikiwa ni pamoja na afua ya Mamlaka za Serikali za Mitaa kutekeleza mafunzo endelevu ya walimu kazini,Upatikanaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia,Kuongeza uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la awali,Mpango wa shule salama kwa shule 6,000 na Mpango wa ujenzi wa miundombinu ya madarasa na vyoo.

Ametoa wito kwa timu za utekelezaji wa mradi huo ngazi za Mikoa na Halmashauri kuhakikisha wanasimamia miradi kwa kuzingatia ubora na viwango vinavyokubalika,kwani endapo utekelezaji wa miradi hiyo utakuwa hauridhishi fedha za utekelezaji hazitatolewa.

Mikoa ya Nyanda za juu Kusini iliyoshiriki mafunzo hayo yaliyoanza kutolewa tarehe 16 na yatahitimishwa tarehe 17 Mkoa wa Iringa,Njombe na Ruvuma kwa kuhusishwa washiriki 250 kutoka ngazi za Mikoa na  Halmashauri.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa