Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Elias Thomas amezindua mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea iliyopo katika Kata ya Mpitimbi Kijiji cha Mpitimbi B ambayo imegharimu fedha kiasi cha Shilingi Milioni 68 hadi kukamilika fedha kutoka TASAF katika wiki ya maadhimisho ya miaka 59 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa