HERI ya Miaka 59 ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 1964-2023.
Halmashauri ya Wilaya ya Songea inaadhimisha maadhimisho haya kwa kuzindua mradi wa nyumba ya mganga wa hospitali ya Halmashauri iliyopo katika kata ta Mpitimbi, pamoja na kufanya usafi na kutekeleza agizo la Serikali la kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa