• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

YALIYOJILI katika Baraza maalum la kujadili Hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Kuishia Juni 2022

Tarehe ya Kuwekwa: June 21st, 2023

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali Laban Thomasi ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa kupata Hati Safi katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mkuu wa Mkoa ametoa pongezi hizo Juni 21, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri wakati wa kikao maalum cha Baraza la Madiwani cha kujadili taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2022.

Pamoja na pongezi hizo Mhe. Kanali Thomasi ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Songea ishirikiane kusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato ya ndani, usimamizi wa miradi ya maendeleo, kuzuia hoja za ukaguzi Pamoja na kubuni vyanzo vipya vya mapato.

Vilevile Mhe. Kanali Thomasi amewataka Watumishi kufuata utaratibu, kanuni na sheria za utumishi wa umma na kuwasilisha mapema nyaraka za matumizi yote ya fedha zinazohitajika wakati wa ukaguzi ili kuepuka Hoja.

‘‘Kila Mtumishi atimize wajibu wake kwa kutenda haki kwa watu mnaowahudumia vilevile imarisheni mahusiano mazuri ndani ya Halmashauri hii itawasaidia kufanya kazi kwa ushirikiano na baadae kuleta matokeo Chanya katika Halmashauri’’, amesisitiza Mhe. Kanali Thomas.

Mhe. Kanali Thomasi ametoa rai kwa Wataalam kutoa elimu kwa vikundi vilivyopewa mikopo ya asilimia 10 kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu ili kuhakikisha mikopo hiyo wanaitumia vizuri na kufanya marejesho ndani ya muda uliopangwa.

Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe. Kapenjama Ndile amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa maelekezo pia amemuhakikishia kuwa atashirikiana na Viongozi na Wataalamu kusimamia vizuri suala la ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri hasa katika ushuru wa mazao na makaa ya mawe.

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea akizungumza kwa niaba ya Uongozi wa Halmashauri amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa maelekezo yote aliyoyatoa na ameahidi kuyafanyia kazi ili kuhakikisha Halmashauri Inaendelea kupata Hati Safi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa