• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya

MKURUGENZI Cheyo afanya ziara ya ukaguzi wa maeneo Songea Vijijini

Tarehe ya Kuwekwa: January 15th, 2023

MKURUGENZI wa Sera na Mipango Ofisi ya Rais TAMISEMI John Mihayo Cheyo amefanya ukaguzi wa maeneo ya ujenzi wa masoko ya kimkakati katika vijiji vitano vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ambavyo ni Matimira, Mpitimbi, Matomondo, Peramiho na Mkenda.

Ukaguzi huo umefanyika tarehe 14/01/2023 ambapo aliambatana na Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Menas Komba, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Neema Maghembe, Timu ya wataalamu na Viongozi wa Kata.

Aidha, Mkurugenzi Cheyo ameupongeza Uongozi wa Halmashauri kwa kutenga maeneo mazuri na yasiyo na migogoro.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO October 12, 2022
  • TANGAZO October 13, 2022
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC Ndile ashiriki zoezi la upandaji miti.

    February 02, 2023
  • DC Ndile awataka watumishi kufanya kazi kwa umakini.

    February 02, 2023
  • YALIYOJILI katika kikao cha robo cha baraza Songea Vijijini.

    February 01, 2023
  • CHAMA Cha Mapinduzi katika utunzaji wa mazingira.

    January 30, 2023
  • Ona Zote

Video

MADARASA ya UVIKO 19 Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa