Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Peramiho anawatangazia wagombea wote wa vyama vya siasa kwa nafasi ya Ubunge na Udiwani,muda wa kuchukua fomu umeanza kuanzia tarehe 12 /8 /2020 mpaka tarehe 25 /8 /2020.
Fomu za na fasi ya Ubunge zinapatikana katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo Peramiho jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Lundusi kwa ngazi ya Udiwani fomu zinapatikana katika ofisi za watendaji wa Kata kuanzia Saa 2 asubuhi hadi saa10 jioni
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa