Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaj wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jacob Mwambegele leo tarehe 19/03/2024, ametembelea na kukagua vituo kumi na nane (18) vya kupigia kura vilivypo katika kata ya Mbingamhalule Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwa lengo ikiwa ni kuangalia namna maandalizi ya uchaguzi yanavyoenda.
Hii ikiwani maandalizi ya uchaguzi ambayo yanatarajia kuanza hapo kesho kuanzia saa moja kamili asubuhi na kumalizika saa kumi jioni.
Aidha Mhe. Mwenyekiti ametoa wito kwa wananchi wote kuhudhulia na kupiga kura ili kumchagua kiongozi wanaempenda, ambayo pia ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi mwenye umri wa kupiga kura
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa