• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Songea District Council
Songea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Uongozi
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
  • Utawala
    • Eneo la Utawala
    • Braza la Madiwani
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
        • Maliasili
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ardhi
      • Fedha na Uhasibu
    • Vitengo
      • Internal Auditor
      • TEHAMA
      • TASAF
      • Ugavi na Manunuzi
      • Usafi Mazingira na Taka ngumu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Maendeleo ya Miundombinu Mjini na Vijijini
      • Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Albam ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi ya Afya
    • Boost
    • Swash
  • Madiwani
  • Tarafa
  • Fursa za Uwekezaji
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari

RUVUMA ya chanja kwa asilimia 82 ya dozi 25,000 ya UVIKO-19

Tarehe ya Kuwekwa: October 1st, 2021

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Balozi Wilbert  Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuendelea kupokea Elimu na kuchanja kwa hiari kwa lengo la kupunguza madhara na changamoto ya ugojwa wa UVIKO -19.

 Balozi  Ibuge ametoa rai hiyo katika kikao cha kamati ya Afya ya Msingi ya Mkoa kuhusu chanjo ya UVIKO 19 kilicho fanyika leo katika ukumbi wa Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma.

Balozi Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuchanja kwa hiari kwasababu chanjo ya UVIKO -19 inaumuhimu mkubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kupunguza vifo,gharama kubwa ya matibabu endapo mtu atapata maabukizi ya ugonjwa UVIKO -19 na mrundikano wa wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Balozi Ibuge amewapongeza wananchi wa mkoa wa Ruvuma kwa kupokea elimu kuhusu umuhimu wa chanjo na kuchanja kwa hiari kitendo ambacho kinatoa fursa ya mapambano dhidi ya  UVIKO -19 ambao ni nitishio kwa maisha na uhai wa binadamu.

Balozi Ibuge amezitaja baadhi ya changamoto ambazo zinasababisha wananchi kutohiari kuchanja kuwa ni kutokuwa na elimu sahihi ya faida za chanjo,watu maarufu kutoa maelekezo hasi kwenye jamii kuhusu umuhimu wa chanjo na baadhi ya viongozi wa dini kutotoa ushirikiano katika zoezi la uhamasishaji wa chanjo.

Amesema mkoa wa Ruvuma kwakipindi cha siku nane kupita mpango wa huduma  shirikishi na harakishi umefanikiwa kuchanja jumla ya watu 21,303 sawa na asilimia 82 kutokana  dozi 250000 ambazo mkoa ulikuwanazo hadi kufikia Septemba  30,2021.

“Janga lililombele yetu ni kupoteza maisha ,shida ya kuchanja wachache ni kuambukiza wengi,na kuchanja wengi ni kupunguza maambukizi,” amesisitiza Balozi ibuge.

Naye katibu wa chama cha mapinduzi wa mkoa wa RuvumaNelly Ngeleja  ametoa wito kwa wananchi kushikamana na kushirikiana katika mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwania ya kuushinda ugonjwa wa UVIKO -19 ambao ni tisho kwa uhai na ustawi wa binadamu.

Kwa upande wake Katibu wa BAKWATA wa Mkoa wa Ruvuma Rajabu Songambele amewashauri watoa huduma za Afya kuwafikia wananchi katika nyumba za ibada na makongamano mbali mbali ya kidini yanayofanyika katika jamii.

Imeandaliwa na kuandikwa na

Jacquelen Clavery

Afisa Habari

Songea DC.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Julai 2022 June 22, 2022
  • TANGAZO LA FURSA ZA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR) August 26, 2022
  • TANGAZO LA KAZI October 13, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021. December 18, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI KIMEMALIZIKA KWA KUWEKA MAKUBALIANO ENDELEVU KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI

    May 24, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA, WANATEGEMEA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA NA UBINGWA BOBEZI KATIKA HOSPITALI YA HALMASHAURI SONGEA

    May 21, 2025
  • MKIMBIZA MBIO ZA MWENGE KITAIFA, AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    May 11, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI SONGEA DC, LIMEMSHUKURU MHE. RAIS NA WAZIRI WA AFYA KWA KUIHESHIMISHA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

    April 29, 2025
  • Ona Zote

Video

NGOMA YA LIZOMBE
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya Mkoa wa Ruvuma
  • Tovuti ya Manispaa ya Songea
  • Tovuti ya Halmashauri ya Mji Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Mbinga
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Namtumbo
  • Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya Tunduru
  • Tovuti ya Halmashauri ya Madaba
  • Tovuti ya Halmashauri ya Nyasa

Tovuti Muhimu

  • Utumishi wa umma
  • Baraza la mitihani la Taifa
  • National Website
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya ajira
  • Tovuti kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Songea

    Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea

    Simu: 2602320 / 2602176

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa