MPANGO wa bajeti wa Halmashauri 2019/2020
Halmashauri ya wilaya ya songea imeanza kazi ya uandaaji wa mpango wa bajeti kwa kipindi cha mwaka wa fedha2019 /2020
Afisa mipango wa Halmashauri ya wilaya ya Songea Bw Richard Masesa amesema hayo katika kazi ya kuandaa mpango wa bajeti uliofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya ya Songea hivi sasa.
Bw Masesa amesema uandaaji wa mpango wa bajeti kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2019/ 2020 ni kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli zote za Halmashauri.
Bajeti ni uti wa mgongo katika mwelekeo wa uteandaji kazi za Halmashauri na kupanga namna kazi zitakavyotekekelezwa katika mwaka mmoja.
Halmashauri ya Wilaya Songea
Anuani ya Posta: P.o.box 995, Songea
Simu: 2602320 / 2602176
Simu ya mkononi:
Barua pepe: dedsongea@songeadc.go.tz
Copyright ©2017 songeadc.go.tz. Haki imehifadhiwa